Skip to main content

Shopping Cart

You're getting the VIP treatment!

Item(s) unavailable for purchase
Please review your cart. You can remove the unavailable item(s) now or we'll automatically remove it at Checkout.
itemsitem
itemsitem

Recommended For You

Loading...
  • Njama

    by E.A. Musiba ...
    Mpelelezi mashuhuri wa Afrika, Mtanzania, Willy Gamba, akiwa likizoni huko Afrika Magharibi, jijini Freetown, Sierra Leone, anatumiwa ujumbe wa haraka arudi upesi nchini kwani kumetokea hujuma kubwa. Kutokana na uzalendo wake hapotezi muda, hima anarejea nchini. Chifu wake anamweleza kuwa shehena kubwa ya silaha za kivita ambazo ni mali ya wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika, imeibiwa bandarini ... Read more

    $64.79 USD

  • Hofu

    by E.A. Musiba ...
    Mauaji ya kikatili yanafanyika karibu na mji wa Uitenhage nchini Afrika Kusini siku ya kuwakumbuka wazalendo, waliouawa mjini Sharpeville mwaka 1960. Makaburu wanajawa na hofu kwa mauaji hayo, na wanawatilia shaka kuwa ni njama za kikundi cha watu weusi za kutaka kupindua mfumo wa Serikali yao ya Ubaguzi wa Rangi. Uongozi wa Makaburu wa Afrika Kusini wakiongozwa na Mkurugenzi wa Shirika la Ujajusi ... Read more

    $64.79 USD